Wednesday, November 29, 2017


Borja Mayoral akishangilia baada ya kufingia mabao yote mawili Real Madrid dakika za 62 na 70 ikitoa sare ya 2-2 na Fuenlabrada katika mchezo wa Kombe a Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Fuenlabrada yalifungwa na Luis Milla dakika ya 25 na Alvaro Portilla dakika ya 89 na Real inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza

0 comments:

Post a Comment