Sunday, December 3, 2017

Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 86 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Athletic Bilbao uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa San Mames. Hiyo inakuwa mara ya 19 kwa Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu na kuweka rekodi ya mchezaji aliyepata adhabu hiyo mara nyingi zaidi katika La Liga

0 comments:

Post a Comment