Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao manne dakika za 11,
47, 64 na 90 na ushei katika ushindi wa 6-3 wa Real Madrid kwenye
mchezo wa La Liga usiku wa jana dhidi ya Girona Uwanja wa Bernabeu na
kufikisha hat trick 50 katika historia yake. Mabao mengine ya Real
Madrid yalifungwa na Lucas Vazquez dakika ya 59 na Gareth Bale dakika ya
86 wakati ya Girona yalifungwa na Christian Stuani dakika za 29 na 67
na Juanpe dakika ya 88
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO APIGA HAT TRICK YA 50 REAL MADRID IKISHINDA 6-3 LA LIGA
Monday, March 19, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment