Monday, March 19, 2018


Nyota wa Chelsea, Pedro akipiga kibendera cha kona kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili na la ushindi dakika ya 105 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England leo Uwanja wa King Power mjini Leicester. Alvaro Morata alianza kuifungia Chelsea dakika ya 42, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester City dakika ya 76

0 comments:

Post a Comment