Monday, March 19, 2018

TIMU ya Manchester United itamenyana na Tottenham Hotspur Uwanja wa Wembley katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England itakayozikutanisha timu hizo kali.
Chelsea, iliyoifunga Leicester City 2-1 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120 leo, itamenyana na Southampton katika Nusu nyingine ya michuano hiyo.
Mechi zote hizo mbili zinatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taiga wikiendi ya Aprili 21 na 22, mwaka huu. 
Droo ya mechi za Nusu Fainali imepangwa leo baada ya kukamilika kwa mechi za Robo Fainali. 

Manchester United itamenyana na Tottenham Hotspur Uwanja wa Wembley katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England i
takayozikutanisha timu hizo kali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

0 comments:

Post a Comment