ARDA TURAN ATUA BASAKSEHIR ISTANBUL KWA MKOPO Arda Turan akikabidhiwa jezi ya Basaksehir Istanbul ya Uturuki baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miaka miwili na nusu kutoka Barcelona ya Hispania
0 comments:
Post a Comment