Nyota
wa Arsenal, Alexis Sanchez akibunika tik tak katika mchezo wa Nusu
Fainali ya Kwanza ya Kombe la Ligi England, maarufu kamaCarabao Cup
usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya wenyeji, Chelsea
uliomalizika kwa sare ya 0-0. Timu hizo zitarudiana Januari 24 Uwanja wa
Emirates
0 comments:
Post a Comment