James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer
Leverkusen Uwanja wa BayArena. Mabao mengine ya Bayern Munich
yalifungwa na Javi Martinez dakika ya 32 na Frank Ribery dakika ya 59,
wakati la wenyeji lilifungwa na Kevin Volland dakika ya 70
Home
»
»Unlabelled
» BAYERN MUNICH YAWAFUMUA BAYER LEVERKUSEN 3-1
Saturday, January 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment