Refa
Mike Jones akimuonyesha kadi nyekundu beki wa pembeni wa Leicester
City, Ben Chilwell (kulia) kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano
dakika ya 68 baada ya kumchezea rafu Victor
Moses wa Chelsea anayegalagala kushoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya
England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya
0-0
Home
»
»Unlabelled
» CHELSEA YASHINDWA KUIFUNGA LEICESTER CITY PUNGUFU
Saturday, January 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment