Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John pombe magufuli (katikati)
akisalimiana na mwanamuziki nguli nchini, Nguza Viking (kushoto) leo
Ikulu mjini Dar es Salaam. Kulia ni mtoto wa Nguza, Papii Kocha. Familia
ya Nguza imefika Ikulu leo kumshukuru Rais Magufuli kwa kuwapa msamaha
wa kifungo cha maisha jela Desemba 9, mwaka jana
Nguza Viking na wanawe wakifurahi leo Ikulu mjini Dar es Salaam
Papii Kocha akionyesha tattoo ya JPM (John Pombe Magufuli) aliyochora
Rais Magufuli katika picha ya pamoja na familia ya Nguza
Hapa ni wakati Nguza Viking na wanawe wanaingia Ikulu mjini Dar es Salaam
Hapa ni wakati wa mazungumzo yao Ikulu leo






0 comments:
Post a Comment