Winga
wa PSG Lucas Moura yuko tayari kuzitema ofa za klabu nne ili kujiunga
na Manchester United, hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la Telefoot la Ufaransa.
Inadaiwa vilabu vya Bordeaux, Nantes, Nice na Real Betis zinamtaka nyota huyo wa Kibrazil, lakini akili ya Moura iko Old Trafford.
0 comments:
Post a Comment