Nyumba atakayokuwa anaishi Sanchez ina thamani ya pound milioni 2 na yupo jirani na mchezaji mwenzake wa Man City na timu ya taifa ya Chile Claudio Bravo, Sanchez kwa sasa ndio mchezaji anayelipwa pesa nyingi EPL, mshahara wake ni pound 350000 kwa wiki.
PICHA 16: Muonekano wa nyumba atakayokuwa anaishi Sanchez jijini Manchester
Nyumba atakayokuwa anaishi Sanchez ina thamani ya pound milioni 2 na yupo jirani na mchezaji mwenzake wa Man City na timu ya taifa ya Chile Claudio Bravo, Sanchez kwa sasa ndio mchezaji anayelipwa pesa nyingi EPL, mshahara wake ni pound 350000 kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment