Wakifurahia
kwa pamoja ni Harry Kane aliyetokea benchi jana na kumpa pasi nzuri
Dele Alli (mbele) kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 89
katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Swansea City Uwanja wa Liberty. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 12
0 comments:
Post a Comment