Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City sekunde ya 40 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Watford
usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Christian Kabasele aliyejifunga
dakika ya 13 na Sergio Aguero dakika ya 63, wakati la Watford alifunga
Andre Gray dakika ya 82
Home
»
»Unlabelled
» STERLING AFUNGUA BIASHARA NZURI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND
Wednesday, January 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment