Monday, January 15, 2018


Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 50 na 71 katika ushindi wa kwanza wa ugenini dhidi ya Real Sociedad tangu mwaka 2007, wakitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 4-2 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Anoeta, Donostia-San Sebastian. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paulinho dakika ya 39 na Lionel Messi dakika ya 85, wakati ya Real yalifungwa na Willian Jose dakika ya 11 na Juanmi dakika ya 3

0 comments:

Post a Comment