TAFRIJA YA UTAMBULISHO WA COUTINHO BARCELONA ILIVYOFANA LEO CAMP NOU Philippe Coutinho akifurahia wakati wa kutambulishwa katika klabu yake mpya, Barcelona leo mchana Uwanja wa Nou Camp kufuatia uhamisho wa Pauni Milioni 145 kutoka Liverpool ya England
0 comments:
Post a Comment