MOURINHO AWAPELEKA MAN UNITED DUBAI MAZOEZI YA JOTO Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiongoza msafara wa timu yake kwa safari ya Dubai leo kwenda kufanya mazoezi ya wiki moja kwenye hali ya joto kabla ya kurejea kwenye mikikimiki ya Ligi Kuu ya England
0 comments:
Post a Comment