Monday, January 15, 2018


Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger anayetumikia adhabu ya kufungiwa na Chama cha Soka (FA), akishuhudia kutoka jukwaani timu yake ikichapwa mabao 2-1 na wenyeji AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Bournemouth yamefungwa na Callum Wilson dakika ya 70 na Jordon Ibe dakika ya 74, wakati la Arsenal limefungwa na Hector Bellerin dakika ya 52

0 comments:

Post a Comment