Nyota
Mbrazil, Neymar Junior akiweka kiatu chake kichwani kushangilia bao la
kwanza aliloifungia Paris Saint-Germain dakika ya 53 kwa penalti katika
ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Amiens SC kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Licorne, Amiens. Bao la pili la PSG lilifungwa na Adrien Rabiot dakika ya 78
Home
»
»Unlabelled
» USHANGILIAJI MPYA WA NEYMAR BAADA YA KUFUNGA KWA TUTA
Thursday, January 11, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment