Mshambuliaji
Mbelgiji, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo kutoka Chelsea akibinuka
sarakasi baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa
2-0 wa Borusia Dortmund dhidi ya Hamburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Bao la pili la Borusia Dortmund lilifungwa na Mario Gotze dakika ya 90 na ushei
Home
»
»Unlabelled
» BATSHUAYI AENDELEZA MOTO WA MABAO BORUSSIA DORTMUND
Sunday, February 11, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment