Mshambuliaji
mpya wa Chelsea, Mfaransa Olivier Giroud (kushoto) akitembea kinyonge
na mchezaji mwenzake, Mbelgiji Eden Hazard baada ya kufungwa mabao 4-1
na Watford leo Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford katika mchezo wa
Ligi Kuu ya England. Mabao ya Watford yamefungwa na Troy Deeney
dakika ya 42 kwa penalti, Daryl Janmaat dakika ya 84, Roberto Pereyra
dakika ya 82 na Gerard Deulofeu dakika ya 90 na ushei, huku la The Blues
iliyomaliza pungufu baada ya Tiemoue
Bakayoko kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 30 baada ya kuonyeshwa
kadi ya pili ya njano likifungwa na Eden Hazard dakika ya 82
Home
»
»Unlabelled
» CHELSEA YAPIGWA 4-1 NA WATFORD HADI AIBU BAKAYOKO ALIMWA NYEKUNDU
Tuesday, February 6, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment