Mshambuliaji
Luis Suarez akiwa amemrukia mgongoni Gerard Pique kumpongeza beki huyo
kwa kufunga bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na
Espanyol kufuatia Gerard Moreno kuwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat
Home
»
»Unlabelled
» PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1
Tuesday, February 6, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment