Nyota
wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameposti picha hii ya magari yake
ya kifahari yenye jumla ya Pauni 850,000 ambayo alikuwa ameyapaki nje
ya hoteli ya kifahari ambayo mchezaji huyo anaishi. Gari
hizo ni pamoja na Lamborghini Aventador yenye thamani ya Pauni 270,000,
lakini pia Aubameyang ana Porsche, Ferrari na Range Rover katika gari
hizo. Mwanasoka
huyo wa kimataifa wa Gabon ana gari nyingine kibao za kifahari ambazo
bado hajazihamishia England ambako katika mechi sita alizoichezea
Arsenal tangu ajiunge nayo Januari ameifungia mabao matatu
Home
»
»Unlabelled
» AUBAMEYANG TAYARI AMESAFIRISHA GARI ZOTE HIZI LONDON
Tuesday, March 20, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment