Mshambuliaji Michy Batshuayi anayecheza kwa mkoppo kutoka Chelsea akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Borussia
Dortmund dakika za 77 na 90 na ushei ikiichapa 3-2 Frankfurt Uwanja wa
Signal-Iduna-Park mjini Dortmund Uwanja wa Signal-Iduna Park mjni
Dortmund katika mchezo wa Bundesliga. Bao la lingine la Borussia
Dortmund limefungwa na Marco Russ aliyejifunga dakika ya 11, wakati mabao ya Frankfurt yamefungwa na na Danny Blum dakika ya 90 na ushe
Home
»
»Unlabelled
» BATSHUAYI APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YASHINDA 3-2
Monday, March 12, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment