Son
Heung-min akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za
62 na 87 katika ushindi wa 4-1 wa Tottenham Hotspur dhidi ya AFC
Bournemouth usiku wa Jumapili Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya Spurs
yamefungwa Dele Alli dakika ya 35 na Serge Aurier dakika ya 90 na ushei
0 comments:
Post a Comment