Mshambuliaji
wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia
baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 59 katika ushindi wa
3-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London, mabao mengine yakifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya nane na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 77
Home
»
»Unlabelled
» AUBAMEYANG AFUNGA BAO TAMU ARSENAL YASHINDA 3-0 ENGLAND
Monday, March 12, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment