Kuelekea fainali hizo kocha wa club ya Man United raia wa Ureno Jose Mourinho ni miongoni mwa watu watakaokuwepo Urusi kwa ajili ya fainali za Kombe la dunia, Jose Mourinho amethibitisha kuwa atakuwepo katika fainaliz hizo baada ya kusaini dili na RT kuwa kama sehemu wachambuzi wa game hizo kupitia TV akiwa pamoja na golikipa wa zamani wa Man United Peter Schmeichel.
“Nimefurahi sana kuungana na RT team na nategemea kuhudhuria fainali za Kombe la dunia 2018 nchini Urusi katika kipindi cha majira ya joto kwa ajili ya kueleza mawazo au mchango wangu katika michezo ya Kombe la dunia”>>>Jose Mourinho
0 comments:
Post a Comment