Bondia
bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Anthony Joshua ameposti picha hii ya
vyakula anavyokula kama vinavyoonekana, ambavyo pia vimeandikwa juu ya
picha kulia. Joshua atapanda ulingoni Machi 31 kupigana na bingwa
mwenzake wa uzito wa juu, Joseph Parker mjini Cardiff katika pambano la kuunganisha mataji
Home
»
»Unlabelled
» MENU' LA ANTHONY JOSHUA KUELEKEA PAMBANO NA PARKER
Friday, March 23, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment