Gwiji
wa Riadha, Mjamaica Usain Bolt akifanya mazoezi na wachezaji wa klabu
ya Borussia Dortmund ambayo inadhaminiwa na Puma kama yeye nchini
Ujerumani jana. Bolt, ambaye ataiongoza timu ya dunia 'World XI'
dhidi ya Robbie Williams wa England katika Soccer Aid mwezi Juni,
tayari ameanza mazoezi ya kujiandaa
Home
»
»Unlabelled
» BOLT AJIFUA NA DORTMUND KUICHEZEA TIMU YA DUNIA
Friday, March 23, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment