Nyota
wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezingirwa na wachezaji wa timu ya
vijana chini ya umri wa miaka saba na nane (U-7 na U-8) wa Manchester
City leo Uwanja wa Etihad ambako timu ya taifa ya Argentina inafanya
mazoezi mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Italia Ijumaa
0 comments:
Post a Comment