Kipa wa Simba, Said Mohamed ameingia katika kikosi cha Simba kilichoondoka leo kwenda nchini Misri.
Nduda hakuwahi kuichezea Simba mechi ya mashindano tokea amejiunga nayo msimu huu akitokea Mtibwa Sugar.
Aliumia wakati wa maandalizi ya mwanzo wa msimu mpya na kulazimika kufanyiwa upasuaji.
Kipa huyo aliifanyiwa upasuaji wa goti na baada ya hapo alirejea na kuendelea na matibabu kabla .
0 comments:
Post a Comment