WACHEZAJI WA FIORENTINA WAMUENZI NAHODHA WAO ASTORI Wachezaji wa Fiorentina wakibandika picha ya mchezaji mwenzao, Davide Astori nje ya Uwanja wa Artemio Franchi kumuenzi Nahodha wao huyo aliyefariki dunia chumbani kwake usiku wa kuamkia Jumapili kuelekea mechi ya Serie A dhidi ya Udinese
0 comments:
Post a Comment