Timu za Simba na Yanga ndizo timu zilizochukua ubingwa mara nyingi kuliko timu nyingine nchini tangu mwaka 1965 mpaka 2017. Yanga ndiyo iliyochukua mara nyingi zaidi ubingwa huo ikifuatiwa kwa karibu na Simba ambayo zamani ilijulikana kama Sunderland Sports Club.
Msimu huu wa mwaka 2017/18 mbio zinaonekana kuwa mikononi mwa timu mbili za Simba na Yanga ambapo Simba wanaonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuuchukua ubingwa wa msimu huu.
Endapo Simba itaibuka na ushindi Jumapili ya wiki hii ambapo timu hizo zinakutana Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, itakuwa imejifikisha karibu sana na kuupata ubingwa huo.
Hapa chini tumekuwekea orodha kamili ya historia ya ubingwa huo:
*.1965 Sunderland (Simba SC)
*.1966 Sunderland
*.1967 Cosmopolitan
*.1968 Young Africans sc
*.1969 Young Africans Sc
*.1970 Young Africans Sc
*.1971 Young Africans Sc
*.1972 Young Africans Sc
*.1973 Simba SC
*.1974 Young Africans Sc
*.1975 Mseto SC
*.1976 Simba SC
*.1977 Simba SC
*.1978 Simba SC
*.1979 Simba SC
*.1980 Simba SC
*.1981 Young Africans Sc
*.1982 Pan Africans Sc
*.1983 Young Africans Sc
*.1984 Simba SC
*.1985 Young Africans Sc
*.1986 Tukuyu Stars
*.1987 Young Africans Sc
*.1988 Coastal Union
*.1989 Young Africans Sc
*.1990 Simba SC
*.1991 Young Africans Sc
*.1992 Young Africans Sc
*.1993 Young Africans Sc
*.1994 Simba SC
*.1995 Simba SC
*.1996 Young Africans Sc
*.1997 Young Africans Sc
*.1998 Young Africans Sc
*.1999 Mtibwa Sugar
*.2000 Mtibwa Sugar
*.2001 Simba SC
*.2002 Young Africans Sc
*.2003 Simba SC
*.2004 Simba SC
*.2005 Young Africans Sc
*.2006 Young Africans Sc
*.2007 Simba SC
*.2007/08 Young Africans Sc
*.2008/09 Young Africans Sc
*.2009/2010 Simba SC
*.2010/2011 Young Africans Sc
*.2011/2012 Simba SC
*.2012/2013 Young Africans Sc
*.2013/2014 Azam Fc
2014/2015 Young Africans Sc
2015/ 2016 Young Africans Sc
2016/ 2017 Young Africans Sc
2017/ 2018 ___________?
Imeandaliwa na Championi
0 comments:
Post a Comment