Ligi kuu ya soka
ya England inaendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaa,kesho jumamosi
michezo saba inatarajiwa kuchezwa ambapo Liverpool wanacheza na Stoke
city,Burnley dhidi ya Brighton,Crystal Palace ni mwenyeji wa Leceister
City.
Huddersfield dhidi ya Everton,Newcastlle United wanachuana
na West Bromwich Albion,Southampton na FC Bournemouth na Swansea city ni
wenyeji wa Chelsea.Idhaa ya Kiswahili ya bbc itakutangazia mchezo kati ya Crystal Palace Leicester kupitia matangazo ya Uimwengu wa soka.
Jumapili West Ham united watawakaribisha Manchester City na Manchester United ni wenyeji wa Arsenal ,BBC pia itakutangazia mchezo kati ya West Ham United na Manchester city
0 comments:
Post a Comment