BASI jipya la Azam FC aina ya Mercedes Benz Irizar i6S Plus, aina ya mabasi yanayotumiwa na klabu kubwa Ulaya linalokuja kuleta upekee kwenye soka ya Tanzania.
Azam FC imekuwa klabu inayoongoza kwa huduma bora kwa timu yake, japokuwa bado haipati matokeo yanayolingana na uwekezaji wake
0 comments:
Post a Comment