INIESTA AONYESHA UTAJIRI WA MATAJI ALIYOVUNA MIAKA 22 BARCELONA Andres Iniesta akionyesha mataji yote aliyoshinda katika miaka yake 22 ya kuwa na klabu ya Barcelona. Iniesta ametangaza kuondoka Barca baada ya msimu huu kufuatia kudumu klabu hiyo kwa miaka 22
0 comments:
Post a Comment