Nahodha
wa West Ham United, kiungo Mark Noble akigombana na kiungo wa
Manchester United, Paul Pogba mwishoni mwa mchezo wa Ligi Kuu ya England
baina ya timu hizo usiku wa Alhamisi Uwanja wa London. Noble aliinuka
kwenda kumshambulia Pogba akidai Mfaransa huyo alimchezea rafu
0 comments:
Post a Comment