BEKI Mkongo wa Simba SC, Henock Inonga Baka amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya Coastal Union Oktoba 31 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kufuatia kumpiga kichwa mchezaji wa wapinzani.
0 comments:
Post a Comment