Leo May 23 2017 kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini
Urusi zinakuwa zimebakia siku 22 kuweza kuanza kwa michuano hiyo,
kuelekea fainali hizo naomba nikusogezee video fupi ya warembo wa kirusi
wakicheza nyimbo za kiafrika kama sehemu ya maandalizi ya michuano
hiyo.
0 comments:
Post a Comment