Nyota
wa England, Dele Alli mwenye asili ya Nigeria akimiliki mpira katika ya
wachezaji wa nchi yake hiyo ya asili wakati wa mchezo wa kirafiki leo
Uwanaj wa Wembley, London kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia.
England imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Gary Cahill dakika ya saba na Harry Kane dakika ya 39 wakati la NIgeria limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 47
Home
»
»Unlabelled
» ENGLAND YAICHAPA 2-1 NIGERIA MECHI YA KIRAFIKI WEMBLEY
Sunday, June 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.