Kipa
Manuel Neuer akiokoa wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya
Austria akiidakia Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu Septemba mwaka
jana alipoumia mguu, Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Worthersee
mjini Klagenfurt am Worthersee, Austria ilishinda 2-1 mabao yake
yakifungwa na Martin Hinteregger dakika ya 53 na Alessandro Schopf
dakika ya 69, baada ya Mesut Ozil kutangulia kuifungia Ujerumani dakika
ya 11
Home
»
»Unlabelled
» MANUEL NEUER AREJEA UJERUMANI IKICHAPWA 2-1 NA AUSTRIA
Sunday, June 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment