Wachezaji wa Real Madrid, Marcelo, Mateo Kovacic na Luke Modric wakifurahia pembeni ya nembo ya Liverpool. Wote Marcelo,
Luka Modric, Mateo Kovacic na Casemiro watacheza leo Uwanja wa Anfield
wakati Brazil na Croatia zikimenyana katika mechi ya kirafiki ya
kimataifa
0 comments:
Post a Comment