Omar Colley baada ya kuichezea KRC Genk kwa miaka miwili ameamua kwenda Italia katika club ya Sampdoria kutafuta changamoto mpya, baada ya kuondoka Mbwana Samatta ambaye ni rafiki na Colley ametumia ukurasa wake wa instagram kumtakia kila la kheri.
Samatta kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe mfupi wa kumtakia kila la kheri Omar Colley katika safari yake mpya ya soka “Congratulation and goodluck my buddy @ocolley15 water brother😂”
Samatta na Omar Colley wakiwa katika ibada ya umrah Macca Saudi Arabia.
0 comments:
Post a Comment