Mkuu
wa Idara ya Masoko wa SportPesa Afrika Mashariki, Kelvin Jackson Twissa
(kulia) ameposti picha hii akiwa na bingwa wa zamani wa uzito wa juu wa
WBC, Anthony Lewis Bellew maarufu tu kama Tonny
Bellew ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa kampuni hiyo. Picha hii
wamepiga makao makuu ya SportPesa mjini Liverpool, Merseyside, England
Home
»
»Unlabelled
» KELVIN TWISA ALIPOKUTANA NA MBABE WA WBC TONNY BELLEW
Tuesday, June 26, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment