Monday, June 11, 2018


Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 63 akimalizia pasi ya Willian katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Austria leo Uwanja wa Ernst-Happel mjini Viena hiyo mechi yake ya kwanza kuanza kwenye kikosi cha timu hiyo tangu aumie mguu Februari mwaka huu akiwa na klabu yake, Pars Saint-Germain nchini Ufaransa. Mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 36 na Philippe Coutinho dakika ya 69 akimalizia kazi nzuri ya Roberto Firmino

0 comments:

Post a Comment