Rais wa Ureno, Marcelo Rebelo de Sousa (kulia) akisalimiana na nyota wa timu yake ya taifa, Cristiano Ronaldo anayetabasamu kushoto kufuatia kiongozi huyo wa nchi kukutana na wachezaji katika Makumbusho ya Kocha wa Taifa mjini Lisbon kabla ya kwenda Urusi kwenye Fainali za Kombe la Dunia wiki ijayo
0 comments:
Post a Comment