Thursday, June 7, 2018


Kevin Durant (kulia) akifunga kwa mtupo wa pointi tatu zikiwa zimebaki sekunde 60 akiiwezesha timu yake, Golden State Warriors kupata ushindi wa tatu mfululizo katika mechi za mchujo za NBA dhidi ya Cleveland Cavaliers mjini Cleveland alfajiri ya leo. Warriors imeshinda 110-102 huku Kevin Durant akifunga pointi 43, huku mkongwe LeBron James kwa mara nyingine akishindwa kuibeba Cleveland Cavaliers

0 comments:

Post a Comment