MESSI NA MKEWE WAHUDHURIA SHEREHE YA HARUSI YA FABREGAS Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) na mkewe, and Antonella Roccuzzo wakiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa klabu hiyo, Cesc Fabregas na mkewe Daniella Semaan katika sherehe ya ndoa ya kiungo huyo wa Chelsea jana mjini Ibiza
0 comments:
Post a Comment