Kiungo
mpya wa Yanga SC, Feisal Salum 'Fei Toto' akiwa mazoezini na timu yake
hiyo mpya mjini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania
Bara
Wachezaji
wengine wa Yanga mazoeziniUwanja wa Jamhuri mjini Morogoro; Kutoka
kulia Kelvin Yondan, Mrisho Ngassa na Thabani Kamusoko
0 comments:
Post a Comment