Gareth
Bale akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Real Madrid
bao la kusawazisha dakika ya 39 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Juventus
kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa FedExField, Landover, Maryland
nchini Marekani. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Marco Asensio yote
dakika za 47 na 56 wakati la Juve iliyomkosa mshambuliaji wake mpya,
Cristiano Ronaldo ambaye anaendelea na mazoezi ya peke yake mjini Turin
limefungwa na Daniel Carvajal aliyejifunga dakika ya 12
Home
»
»Unlabelled
» REAL MADRID WAICHAPA JUVENTUS 3-1 KIRAFIKI MAREKANI
Sunday, August 5, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment